Kikafoa

Kikafoa ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakafoa. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kikafoa imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikafoa iko katika kundi la Kialor.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search